Huyo anayekusajilia si ni MTU mnayefahamiana mfano mm yng kanusajilia shemeji yng!!sasa ukisema uchukulie wadau afu line itumike ndivyo sivyo(hatuombei)huoni wakitrack usajili Huyo bw. Atakua matatizoniKule vitambulisho vinavyotumika ni vya watu wa kenya Sio Tz halafu vitambulisho vipo vya kutosha uwezi kukosa Sio lazima utumie chako
Sent using Jamii Forums mobile app
emptyMechi ya CSKA kuna possibility ya goli lingine waweza weka over 2.5
Mkuu sisi wa kigoma au mtwara au mbambabay tunaweza tumia HIZI line?Sasa mkuu Mbona ww upo karibu tu na mpaka wa kenya tafuta cku panda magari ya Mwanza to Sirari ukishavuka boda tu na kuingia kenya hapo sirari laini zipo za kutosha utatafuta sehemu utasajiliwa laini na kulipia elfu 10 ya kitambulisho cha kenya maalumu kwaajili ya usajili halafu usajili wa laini ni elfu 2500 na utanunua vocha unarudi zko mwanza kabla hata cku haijaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia zina tumia minara ya Vodacom TzMkuu sisi wa kigoma au mtwara au mbambabay tunaweza tumia HIZI line?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya safaricom ukishinda kuanzia milion na ukataka kuitoa lazima utaanza kuambiwa ujipige self, utume id na verification nyingine nyingine. Labda uwe unatoa vihela vidogo vidogo tuMpango ni safar com unadepost bure hats kuhamisha hela kuna voda mpesa ni free
Sent using Jamii Forums mobile app
ASWAUZIE .....255Mkuu sisi wa kigoma au mtwara au mbambabay tunaweza tumia HIZI line?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani ukinisamehe au usiponisamehe unapunguza nini kwangu???void = empty anaanza kujirekebisha nitamsamehe kama anabadilika hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh haya makubwa tenaShida ya safaricom ukishinda kuanzia milion na ukataka kuitoa lazima utaanza kuambiwa ujipige self, utume id na verification nyingine nyingine. Labda uwe unatoa vihela vidogo vidogo tu
Kweli kabisa.Shida ya safaricom ukishinda kuanzia milion na ukataka kuitoa lazima utaanza kuambiwa ujipige self, utume id na verification nyingine nyingine. Labda uwe unatoa vihela vidogo vidogo tu
Mkuu kwani ukinisamehe au usiponisamehe unapunguza nini kwangu???
Mkuu kwani ukinisamehe au usiponisamehe unapunguza nini kwangu???
Mkuu kwani ukinisamehe au usiponisamehe unapunguza nini kwangu???
Pumbavu hujanielewa wewe mbung'o acha kukurupuka nyamafu..Pumbavu........
We ungekuwa na uhakika wa odds 50,000 ungesongana na sisi humu JF
Kachukue mkopp Bank wekadhamana nyumba ya mzee wake then tupia kwenye hizo odds za 50,000 uwe bilionea