Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

LG -LIFE IS GUD.. DERBY WHY THNKS MAN CITY
Screenshot_20190221_005552.png
IMG_20190221_010146.JPG
IMG_20190221_010213.JPG
 
Hizi odds zilipofikia ukicheza karata vizuri unacheka kihindi

Tengeneza single mbili
Moja mpe win Juve
Kisha mpe na Atletico win

Stake 100,000 kila single

Akishinda yeyote unapata 290,000
Ukitoa stake zako unabaki na 90,000 iliosimama

NB
Ole wako watoe draw utalia kilio cha kichinaView attachment 1027393
Muda wa kufunga mahesabu sasa!!!

Kama ulitia laki laki una elf90 ya ziada

Kama ulitia elf50 kila mkeka una elf45 ya ziada

Kama ulitia elf25 kila mkeka una elf22

Nk
Nk
Screenshot_2019-02-21-01-06-43-1.jpeg
Screenshot_2019-02-21-01-05-15-1.jpeg
 
Back
Top Bottom