Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawa, mfowadie hii...

PSG - win (1.35)
RANGERS- win (1.45)
MAN CITY- win (1.32)
JUVENTUS- win or draw (1.40)
BORDEAUX- win or draw (1.25)
Total Odds: 4.52

Sasa sijajua ukimfowadia ndo itakuwaje hapo!
Juve kanifilisi mazima... Laki nane yangu imeenda na maji.
 
Acha kabisa Mkuu upepo haukawii kuyumba Na hasa kama umefanya combination ndio hatari zaidi.
Nakumbuka niliwahi kuingia tamaa direct win tena kwa odds Ya 1.2 Nikaweka hela Ya michango Ya kikundi chetu flani hivi... Nikajipa uhakika kwa odds hiyo Ya 1.2 nampiga kanji fasta nichukue cha juu then nirudishe hela Ya watu.... Kilichonitokea sitokaa nisahau maishani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hii mkuu ungeweka ile double chance Ya 12 ukaweka stake kama yote si ungepiga hela kuliko ulivyotenganisha???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu double chance haiwezi kukubali sababu hakuna odds za dc zinaweza kutokea 2+ kila upande

Ili fomula hii ikubali inabidi mgawanyo wa odds uwe kuanzia 2+ kila upande ili upande wowote uki win uta dable stake na kurudisha stake zako na kubaki na cha juu
 
Ila ukiweka huku na huku inabidi ufunge kwa maombi isitokee sare mkuu.... Maana stake Ya huku unaliwa na Ya upande wa pili pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LG-LIFE IS GUD AGAIN
Screenshot_20190221_062846.png
 
Back
Top Bottom