Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Juve kanifilisi mazima... Laki nane yangu imeenda na maji.Sawa, mfowadie hii...
PSG - win (1.35)
RANGERS- win (1.45)
MAN CITY- win (1.32)
JUVENTUS- win or draw (1.40)
BORDEAUX- win or draw (1.25)
Total Odds: 4.52
Sasa sijajua ukimfowadia ndo itakuwaje hapo!
Ndiyo mkuu.. Sijui kama nitalala leo!Pole Mkuu, ulimpa direct win?
First leg afu unampa juventus direct win..wakiwa kwao weka million 5.. Atletico anakufa kwa zaidi ya goli 3.Juve kanifilisi mazima... Laki nane yangu imeenda na maji.
Asante mkuu.. ila maumivu yake sio ya kawaida aisee... Kweli Juve kashindwa kupata hata goli moja!! Kweli!!Pole mkuu
Mapambano yaendelee
Cool down Mkuu, Ila badili strategy. Uwe unakimbizana in play zaidi, kwa mfano Kwa laki nane ukikimbia nayo in play kuidouble ni faster tu.Ndiyo mkuu.. Sijui kama nitalala leo!
Siwezi tena.. Ngoja nipambane na mishe zingine.First leg afu unampa juventus direct win..wakiwa kwao weka million 5.. Atletico anakufa kwa zaidi ya goli 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri ila mimi ndo nimestaafu hii kazi.Cool down Mkuu, Ila badili strategy. Uwe unakimbizana in play zaidi, kwa mfano Kwa laki nane ukikimbia nayo in play kuidouble ni faster tu.
Mkuu unastaafuje kabla ya kikokotoo kuanza kutumika.!Asante kwa ushauri ila mimi ndo nimestaafu hii kazi.
Kwangu kimeanza kutumika leoMkuu unastaafuje kabla ya kikokotoo kuanza kutumika.!
Mzee direct win Ni Hatari kwa afya yako asee... Mi naiogopa Kama ukoma.Ndiyo mkuu.. Sijui kama nitalala leo!
Acha kabisa Mkuu upepo haukawii kuyumba Na hasa kama umefanya combination ndio hatari zaidi.Mzee direct win Ni Hatari kwa afya yako asee... Mi naiogopa Kama ukoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka niliwahi kuingia tamaa direct win tena kwa odds Ya 1.2 Nikaweka hela Ya michango Ya kikundi chetu flani hivi... Nikajipa uhakika kwa odds hiyo Ya 1.2 nampiga kanji fasta nichukue cha juu then nirudishe hela Ya watu.... Kilichonitokea sitokaa nisahau maishani.Acha kabisa Mkuu upepo haukawii kuyumba Na hasa kama umefanya combination ndio hatari zaidi.
Kwani hii mkuu ungeweka ile double chance Ya 12 ukaweka stake kama yote si ungepiga hela kuliko ulivyotenganisha???Muda wa kufunga mahesabu sasa!!!
Kama ulitia laki laki una elf90 ya ziada
Kama ulitia elf50 kila mkeka una elf45 ya ziada
Kama ulitia elf25 kila mkeka una elf22
Nk
NkView attachment 1027788View attachment 1027789
Mkuu double chance haiwezi kukubali sababu hakuna odds za dc zinaweza kutokea 2+ kila upandeKwani hii mkuu ungeweka ile double chance Ya 12 ukaweka stake kama yote si ungepiga hela kuliko ulivyotenganisha???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ukiweka huku na huku inabidi ufunge kwa maombi isitokee sare mkuu.... Maana stake Ya huku unaliwa na Ya upande wa pili pia.Mkuu double chance haiwezi kukubali sababu hakuna odds za dc zinaweza kutokea 2+ kila upande
Ili fomula hii ikubali inabidi mgawanyo wa odds uwe kuanzia 2+ kila upande ili upande wowote uki win uta dable stake na kurudisha stake zako na kubaki na cha juu
Pole chief Juve kaondoka mtaa...mapambano yaendelee mpaka mia nane irudi.Ama kweli demu unayemuamini ndiye anakuambukiza gono.. Juve kanifilisi mazima.. laki nane yangu imepepea kwa Khanji.
Mkuu mbona haya goagle inafunguka vizuriNajaribu kufungua site yao ila naona inazingua au ndo mpka utumie VPN?