Picha liliungua hili kumbe,,,aiseee nkishea ni shida nikila gizani mambo byeeee
Hahahaaaaaaaaaaa hizo usishare mpwaaPicha liliungua hili kumbe,,,aiseee nkishea ni shida nikila gizani mambo byeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Before hujaweka ndoano inabidi upite sofa score ucheki head 2 head points zilikuaje...hapo utakua na makisio yako tayari then unaweza kuvizia...
Nilitoa ka tekniki fulani hivi ka kutafuta wastani wa points kwa game husika..
mfano game hii hapa chini ukicheki hapo kwenye red wastani ni 131...kwahiyo unaweza kuwa makisio yako kwamba game inaweza kutoa points zaidi ya 130...unarudi kwenye betting company yako unachek kama kuna option yenye points hizo au inayokaribiana nayo hapo unatega....unaweza kusubiri ikiwa bado haijaanza ukatega, au ukasubiri ianze then unatupia ukiwa tayari una makisio yako pembeni...
Njia ya pili ninayoitumia mimi ambayo so far haijaniangusha sana, ni kusubiri game imalize kwota ya 2 yaani half time,,,then unajumlisha points zote za hizo kwota 2 jumla yake unazidisha mara 2..mfano game imetoa halftime points 75..utaizidisha mara 2 yaani 75x2=150...hapo ntaweka ndoano yangu kwenye points ya over 150-160.....
Kwa hizo njia mbili nahakika hutakosa ya supu mkuu...kila la kheri!View attachment 1027320View attachment 1027321
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure Mkuu, kwangu mimi hakuna kampuni bomba kama 1Xbet kwa sasa AseeDownload app yao, Hiyo ndio kampuni yenye option nyingi haijapata tokea. Unaweza kubet mpaka option ya VAR kutumika au kutokutmika, Goal kufungwa kwa mguu au lah, Sub player ku score au lah......na option lundo ikiwemo je mpira utatoka na utakua wa kurushwa au la katika dk fulani
Yani ile Kuondoa mobile transaction wametuangusha sana...Mpaka leo sijaweka pesa huko!Hivi is it possible ku deposit kwa kadi ya CRDB?Sure Mkuu, kwangu mimi hakuna kampuni bomba kama 1Xbet kwa sasa Asee
Sent using Jamii Forums mobile app
#BET WON#Odds 6 hizo [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1027507
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi Jaribu ase ila kuna Wanaodeposit kwa kadi ya FNB kuna Jamaa angu nimeona anefanikiwa, Personally Juzi nimedeposit kwa njia ya BITCOIN ingawa pesa inapungua sana kwa sababu za crypto currencyYani ile Kuondoa mobile transaction wametuangusha sana...Mpaka leo sijaweka pesa huko!Hivi is it possible ku deposit kwa kadi ya CRDB?
Mkuu tumia tu Biticoins ndio njia rahisi haina usumbufu wa kuanza kukimbizana na mabankYani ile Kuondoa mobile transaction wametuangusha sana...Mpaka leo sijaweka pesa huko!Hivi is it possible ku deposit kwa kadi ya CRDB?
HAHAHAAAAAAA. AENDE NA 30 ANAJAZIWA NA KUSUBIRIA HAPOHAPOWe nenda na 15-20 kwa temporary pass lakini wala haichukui dk nyingi!maana bei take halali ni elf 5,hiyo inayozidi ni tip ya muhudumu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia pc huwa haikubali. Nashukuru hii uliyonipa imekubali.This Website is not available in your country.
Hiyo ndio link ya kutumia browser ya simu
Ukigoogle inakuja www ambayo ni kwaajili ya pc