Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

*dzvu8*

Arsenal - BATE Borisov
Total 2: Individual Total BATE Borisov Over (0.5)
2.14

_arsenal 1.13 odds and bate 25 odds?_

*mr opulence*
 
*emvu8*

Valerenga - Storhamar Dragons
1X2: W Valerenga

_2.13 odds_

*mr opulence*
 
*cz8u8*

Oriente Petrolero - San Jose Oruro
Total 2: Individual Total San Jose Oruro Over (1.5)

_2.3 odds_

*mr opulence*
 
MAXBET
ARSENAL OV2.5
BENFICA WIN
DYNAMO KYV GG
CLUB BRUGGE OV 1.5
ALLD BEST
 
Booking Number:πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

⏰ 21:00

Event Chelsea - Malmo FF
Live/Prematch Prematch Selection 1 & NG

*2.01 odd*


β›ΊGrEeNSTARβ›Ί


*join my group πŸ‘†πŸΎ& πŸ‘†πŸΎenjoy πŸ‘†πŸΎmore of my winnings games*

*β›ΊGrEeN🌟STARβ›Ί*
 
*v4zu8*

_3.15 odds_

Bengaluru - Goa
Total: Total Over (2)
1.23
Express - Maroons
Double Chance: Express Or X
1.25
Kazakhstan - Moldova
Double Chance: Kazakhstan Or X
1.39
Uganda Revenue Authority - Kirinya Jinja SS
Double Chance: Uganda Revenue Authority Or X
1.2
Beroe Stara Zagora - Etar 1924 Veliko Tarnovo
Double Chance: Beroe Stara Zagora Or X
1.23

*mr opulence*
 
hakuna game za uhakika kaka...lazma tuh kuna siku big teams zinateleza, even last weekend real madrid amepoteza dhidi ya girona in front of home crowd..
 
Wakuu tusaidiane kubashiri kwenye hii Jackpot ya Bet Pawa Maana umoja WETU ndio ushindi wetu
 
Wakuu nimefungua account local Bitcoin lakin nashindwa kutuma kwenda 1xbet najazaje hapo ili nifanikisheView attachment 1028180

Sent using Jamii Forums mobile app



πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

1. Tengeneza account kwa ajili ya kuuza au kununua bitcoins hapa - LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins

2. Ukishakuwa na account, login then nenda sehemu imeandikwa "Buy bitcoins"

3. Weka kiasi unachotaka, chagua TZS then sehemu ya "All online offers" chagua aidha M-Pesa Tanzania ama Tigo Pesa (... inategemea unalipia kwa mtandao gani) halafu click Search.

4. Watatokea mawakala ambao wanauza na kununua bitcoins. Chagua yeyote then click Buy. Mimi mara nyingi namtumia Mallya1980 ama Felibiogeort ... hawa wako fasta sn kukuhudumia.

5. Ukishamchagua mmoja wapo kwa kuclick "Buy" pembeni ya jina husika, muda mfupi watakutumia ujume wenye namba ya wakala ili utoe hiyo pesa kwa njia ya kawaida ya kutoa hela kwny m-pesa ama tigo pesa.

6. Ukishatoa, chini ya sehemu ya kuandika ujumbe utakuta kuna button "I have Paid". Click hapo ili kumfahamisha kuwa umeshalipia.

7. Akishaconfirm km umeshalipia, atakuwekea bitcoins kwny Wallet yako. Yani ukiclick wallet kwenye account yako ya bitcoins utakuta kuna namba fulani zimewekwa (ndio bitcoins zenyewe)

Mpaka hapo unakuwa umeshanunua Bitcoins.

Jinsi ya kudeposit kwenda 1xbet sasa ...

1. Click "Top up account" kwenye 1xbet kama kawaida.

2. Kwenye "Types of payment systems", nenda kwnye "Cryptocurrency" then click Bitcoin

3. Utapata bitcoin address (muunganiko wa namba na herufi), pembeni yake kuna option ya ku-copy ... click hapo ili uicopy hiyo address

4. Rudi kwenye account yako ya Bitcoin, click wallet then this time click "Send bitcoins"

5. Sehemu ya "Receiving bitcoin address" weka address uliyoicopy kwny step namba 3 hapo juu.

6. Amount in bitcoin, itakuja automatically ... huhitaji kujaza chochote.

7. Description sio lazima, sehemu ya amount utaona amount ambayo itatumwa kwenda kwenye address uliyoiweka (i.e. 1xbet).

8. Click Continue.

9. Utaambiwa uweke password ya bitcoin account ili kuconfirm. Na hapo utakuwa umemaliza mchakato.

NB: Inachukua kuanzia dk 5-45 kwa amount kuingia kwny account ya 1xbet.

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 

Umetoa somo zuri sana Kiongozi,,,,,,,,,,nikiwa tayari kufungua account ntakuseach inbox😎😎
 
Jamani Betpawa kutoa pesa ni tabu sana kupitia mtandao wa Halotel ama ni kwangu tu,,,,,,,,tangu saa 8:38am nimewithdwar Tsh 60,000 mpk mida hii sijapata hata meseji wa pesa na salio hakuna

Mwenye mawasiliano kwa wahudumu wa BETPAWA naombeni jamani
 
Jamani Betpawa kutoa pesa ni tabu sana kupitia mtandao wa Halotel ama ni kwangu tu,,,,,,,,tangu saa 8:38am nimewithdwar Tsh 60,000 mpk mida hii sijapata hata meseji wa pesa na salio hakuna

Mwenye mawasiliano kwa wahudumu wa BETPAWA naombeni jamani
Waliweka tangazo kuwa kuna matatizo kuwithdraw kwa halotel ila wakisort out mzigo utaingia pasi na shaka yeyote be patient
 
Jamani Betpawa kutoa pesa ni tabu sana kupitia mtandao wa Halotel ama ni kwangu tu,,,,,,,,tangu saa 8:38am nimewithdwar Tsh 60,000 mpk mida hii sijapata hata meseji wa pesa na salio hakuna

Mwenye mawasiliano kwa wahudumu wa BETPAWA naombeni jamani
Mkuu Fanya mpango ubadilishe namba utumie either Tigo au Voda manaake siku ukipiga mpunga mwingi na ukataka kuutoa kupitia Halotel unaweza ukazunguka mpaka kwenye branch.
 
Poa ndugu
Njia nyingine unaweza deposit toka visa card au Master card then wakati was kutoa ukatolea kwa skrill account km unayo baada ya hapo kwa kuwa Bado bank zetu zinazingua kupokea uka deal na huyu jamaaa mwrct yey anakutumia kwa m pesa au Tigo makato kama NI us 100*21000 kiasi kinachopatokana anakata 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana ilikuwa siku ya ngekewa,Kwa mfano hapo mtu ungetia 500k ungevuna 20,500,000. Yaani ungepata faida ya milioni 20. Mkuu Dejavu mtaalamu wa kucheza na fursa, hii ilikuwa fursa adimu...hahaaa
Betting ni risk.
The higher the risk the higher the profit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…