Na ataongezwa la pili.Copenhagen anatoa salamu zisizo Za kheri
Soma hiyooo...!!!
Kwann Mkuu?Hii hela ya Kenya kupitia Safaricom ina Upofu sana
Mkuu upo Kenya siku hizi?Kama uchawi vile [emoji23]View attachment 1032035View attachment 1032036
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabaki nani hapo???Wazee Wa odd 2+, kazi kwenu.View attachment 1031751
Mkuu kua mvumilivu.Copenhagen anatoa salamu zisizo Za kheri
Waweza play singo matchTupo tunavizia mkuu, tips zako huwa hazitulazi njaa, be blessed! Ntakuwa nafresh kila mara kuvizia ndoano za nba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann Mkuu?
Hii mechi ya Copenhagen nimecheza single over 2.5 ila mauno wanayokata.
Si wadau mnajua ukicheza mechi single unaweka stake sawa na gharama ya Bombardier. Hapa nawaza kama stake inateketea au lah.
Ondoa shakaHii mechi ya Copenhagen nimecheza single over 2.5 ila mauno wanayokata.
Si wadau mnajua ukicheza mechi single unaweka stake sawa na gharama ya Bombardier. Hapa nawaza kama stake inateketea au lah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Stake yangu inarudi na faida juu.