Mduku
JF-Expert Member
- Nov 8, 2017
- 302
- 163
God's strength be upon you!RIP MA DADY
Pole sana mpwa.RIP MA DADY
WOOON MKAWITHDRAW.Gg kazi kwenu 80%View attachment 1033663
Shukran mkuu nilifata hiiGg kazi kwenu 80%View attachment 1033663
Hongera Mkuu
Wazo zuri!Wadau kwema,mniwie radhi kwa yoyote ntakae mkwaza kwa hili,mi nilikuwa nawazo hivi ndgu yetu P.Didy kwa umuhimu wake na ushiriki wake hapa jukwaani hatuwez labda kumuomba akaweka mawasiliano hapo tukamchangia chochote mwenye buku mbili buku kuonyesha tu kuwa tuko pamoja nae katika kipindi hiki kigumu,nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau kwema,mniwie radhi kwa yoyote ntakae mkwaza kwa hili,mi nilikuwa nawazo hivi ndgu yetu P.Didy kwa umuhimu wake na ushiriki wake hapa jukwaani hatuwez labda kumuomba akaweka mawasiliano hapo tukamchangia chochote mwenye buku mbili buku kuonyesha tu kuwa tuko pamoja nae katika kipindi hiki kigumu,nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app