Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazo zuri!!
Wadau kwema,mniwie radhi kwa yoyote ntakae mkwaza kwa hili,mi nilikuwa nawazo hivi ndgu yetu P.Didy kwa umuhimu wake na ushiriki wake hapa jukwaani hatuwez labda kumuomba akaweka mawasiliano hapo tukamchangia chochote mwenye buku mbili buku kuonyesha tu kuwa tuko pamoja nae katika kipindi hiki kigumu,nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja jumla jumla.
 
IMG_8130.JPG

Aberdeen na mancity wasingeleta ungese ningekuwa nacheka kihindi leo! Ila sio mbaya
 
Wazee nilideposit 1xbet kwa bitcoin..sasa jana nimepiga hela wananikatalia kuwithdraw..

Zamani nilikuwa natua mpesa..nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo??
 
Wakuu nina 46k 1xbet,atakayetaka nimuhamishie kwenye acc yake ya IXbet anicheki mimi atanipa 36k tu..

Nb: no yake ya simu aliyosajilia IXbet inabidi iwe activated
 
Jamani mlioangalia mpira was Man U, VP Lukaku alifunga goal? Nisije kununua bundle kumbe alifunga huku Mimi nilibet asifunge.
 
Back
Top Bottom