Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee nilideposit 1xbet kwa bitcoin..sasa jana nimepiga hela wananikatalia kuwithdraw..

Zamani nilikuwa natua mpesa..nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo??

Unataka kutoa sh ngapi? Maana wanaanzia elfu 25 sasa ibadilishe kwenda bitcoins!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ooooii
Screenshot_2019-02-27-21-14-09.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee nilideposit 1xbet kwa bitcoin..sasa jana nimepiga hela wananikatalia kuwithdraw..

Zamani nilikuwa natua mpesa..nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo??
Unatoaje?
Kiwango ni kuanzia elf 25
Copy link then nenda ka paste kwenye acc yako ya bitcoins
Hakikisha njia uliotumia kudeposit ndio unatumia kuwithdraw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliweka jackoprt ya super bet timu 6 ilikuwa milion moja na laki kadhaa lakini wamenipa hela 9900 na niliweka kiasi cha elf moja mach zenye option ya win tu imekubali lakin tokaa Leo asubh wananzungusha hawataki kunipa hela yangu


Nomben msada jaman
Screenshot_20190228-144208.jpeg
Screenshot_20190228-131630.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom