Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Majamv ya raha yake cku lkripukka muhnd lazma ateteme
Screenshot_2019-02-28-16-39-23.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu niliweka jackoprt ya super bet timu 6 ilikuwa milion moja na laki kadhaa lakini wamenipa hela 9900 na niliweka kiasi cha elf moja mach zenye option ya win tu imekubali lakin tokaa Leo asubh wananzungusha hawataki kunipa hela yangu


Nomben msada jaman View attachment 1034250View attachment 1034251

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoamua kubet basi kua makini na unachobeti usibet kitu hukijui yaan kazi yako ni kuchagua mechi tu da inasikitisha mkuu jackport maana yake iyi hela milion moja na kadhaa inagawanya kwa washindi wote mfano walioshinda ni 1000 na hela waliweka 1500000 maana yake chukua 1500000 gawa kwa watu 1000 kila mmoja atapata 1500 mkiwa mmeshinda watu 15 tu. Chukua 1500000 gawa kwa 15 kila mmoja atapata 100000, haujazulumiwa usifikirie iyo milion moja na kazaa ni yako peke yako ni ya wote watakaoshinda wanagawana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmebet jackpot ya hii nmepatia time zotee helaaa ndio nmepawa 9900 kwer wakuuuuu View attachment 1034359

Sent using Jamii Forums mobile app

Kila siku mnaambiwa jackport ni Us£nge bado mnaendelea haya Sasa Muendelee kupigwa! Hizo jackport ndo michezo yao hyo utaambiwa hapo mmeshinda wengi kwahyo hilo fungu wameligawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kila siku mnaambiwa jackport ni Us£nge bado mnaendelea haya Sasa Muendelee kupigwa! Hizo jackport ndo michezo yao hyo utaambiwa hapo mmeshinda wengi kwahyo hilo fungu wameligawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Alafu inaweza ikawa ni mbinu chafu kwani ni vigumu kudhibitisha kama kweli wameshinda watu wengi kiasi hiki... Yawezekana wameshinda watu wanne lakini wakatangaza wameshinda watu sitini au zaidi!
 
Back
Top Bottom