allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,177
- 820
Games are few kwa leo nadhani tutakua pamoja.Dah Kiongozi jana nilikua safarini, sikuingia kabisa huku yani ndio naingia muda huu humu Buddy
Sent using Jamii Forums mobile app
Games are few kwa leo nadhani tutakua pamoja.Dah Kiongozi jana nilikua safarini, sikuingia kabisa huku yani ndio naingia muda huu humu Buddy
Mkuu hii ni kama 1Xbet?Imekuaje umefanikiwa kupata linePresha tupuView attachment 1034680
Mkuu hii ni kama 1Xbet?Imekuaje umefanikiwa kupata line
Washindi 7946 mlitak wote mpewe milion milion kasema nani?Nmebet jackpot ya hii nmepatia time zotee helaaa ndio nmepawa 9900 kwer wakuuuuu View attachment 1034359
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo 2/X maana Away ashinde kipindi cha kwanza yani HT alafu game iishe kwa Droo yani FT....ndo maana ya HT/FT sio kwamba X ni droo ya kipindi cha pili,ilibidi game iishe kwa droo FT ili ushinde.Wakuu hebu niambieni hapo nimekosea wapi maana nilimpa Flamingo ashinde 1HALF alafu 2HALF draw
Matokeo: Portuguesa VS Flamingo
1HALF 0:2
2HALF 1:1
HT/FT. 2/X
LAKINI BETPAWA WAMENIWEKEA LOSTView attachment 1034794
Sent using Jamii Forums mobile app
ImeitikaNilipata maswahibu mazito nikakomba mtaji wote
Naanza kudunduliza taratibuView attachment 1034985
Sent using Jamii Forums mobile app