Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mkeka ulikuwa wa mwisho, nilibet kizembe na nimeliwa kizembe. Kumbe ningekaza tu ningekula. Zilikuwa odds 51 hizo.
td 1.png

td 2.png
 
Baada ya kubet mikeka ya kazi, nikasema nijaribu na correct score ya odds 15 kama starehe, nikabugi goal moja tu kwa arsenal.
correct.png
 
Kuna mkeka wangu nilibet jana kwa mbet mechi 12.
Mechi 11 zote zimekubali kasoro mechi 1 tu imeandika aband.
Je ikitokea situation kama iyo kwa mbet wanafanyaje naomba maelezo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom