Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau kwema,mniwie radhi kwa yoyote ntakae mkwaza kwa hili,mi nilikuwa nawazo hivi ndgu yetu P.Didy kwa umuhimu wake na ushiriki wake hapa jukwaani hatuwez labda kumuomba akaweka mawasiliano hapo tukamchangia chochote mwenye buku mbili buku kuonyesha tu kuwa tuko pamoja nae katika kipindi hiki kigumu,nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri!
 

Naunga mkono hoja. Kama itampendeza aweke mawasiliano yake.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…