Shukrani kwa Mungu, kimya kimya ilishindwa
View attachment 1035454
Thanks again
View attachment 1035455
Kwanini mkuu? Mbona anaongoza bado.. nataka nimpe goli la pili!
Ashatoboa. Alikuwa amenipa tabu sana maana nlijitungua ashinde kipindi cha kwanzaKwanini mkuu? Mbona anaongoza bado.. nataka nimpe goli la pili!
Nimempa apate goli jingine lakini naona hata mimi ananipa preshaAshatoboa. Alikuwa amenipa tabu sana maana nlijitungua ashinde kipindi cha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni.. Kapata goli dakika za lala salama.. ila kanitia presha ya hatari.Nimempa apate goli jingine lakini naona hata mimi ananipa presha
huwa unauma sana!
View attachment 1035490
Kipusa naona umemkimbia mazima sportpesa! Meridian ana option za kibabe sana issue huwaga ni mtandao, akirekebisha hicho tu nadhani bongo hana mpinzani..Shukrani kwa Mungu, kimya kimya ilishindwa
View attachment 1035454
Thanks again
View attachment 1035455
Pole sana chief haya ma copenhagen yaliniuzi sana siku ile...
Mwanaume tena wa BettingDem WANGU kashinda bet 124,000/- sasa basi yaani anajiona yeye mwanaume wa BETTING maneno meeengi [emoji23][emoji23][emoji23] anapanga kujenga
Sent using Jamii Forums mobile app