Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu matimu mengine noumer sana. Kwani unaweza kuturbo wakati mechi ikiendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda Meridian wakiona una chnace kubwa ya kushinda wanakupa option ya turbo ila kila dakika zinavyoenda amount inakuwa inapungua ndio maana unaona hapo game ya Sparta Rotterdam odds zilishuka mpaka 0.44.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…