Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nahitaji msaada wenu tafadhali

Nilikuwa natumia 1xbet,na kudeposit ilikuwa ni M-pesa na tunajua kua wameifyekelea mbali

Baada ya kuchoshwa na ubaradhuli wa bet company nyingine nikarudi 1xbet kwa kutumua bitcoin..nikaplace bet nikawin,nilopotaka kuwithdraw ikashindikana nikawacontact wakanijibu hivi


Wanachokimaanisha hapo haswa nini wakuu??

Je wale mnaotumia bitcoin au mliowahi na kabla mlikuwa mnatumia mobile money hili tatizo hamjalipata??
 
Wapendwa Mie mhindi kama anabifu na Mie.. nipeni hata timu tatu nimle nifurahi plz.. Kila cku lazima kuna mwanga mmoja anachana nikomboeni asee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa utoe kwa njia uliyoingizia i.e utoe kwa njia ya Bitcoin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu niaje,Jana perfect 12 nilipatia mechi tisa m-bet,sasa nashanga paka now kimya...inakuaje hapa wadau
 
Habari Wakuu.Nipatieni Msaada Kidogo.
Nina Laini Ya Safari com.Nimefungua Account Tayari 1xbet Kwa Kshs.Ni Namna Gani Naweza Kuweka fedha Kwenye Hii Laini,Na Pia Namna Gani Naweza Kuzituma Kuingia Kwenye Account yangu Ya 1xbet.Pia Msaada Wa Menu Ya Mpesa Ya Safari Com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pesa za laini yako ya voda (M-pesa Tanzania) zitume kwenye hiyo safaricom sema kuna vimakato vikubwa kidogo ila si sanaa
 
Wakuu, binafsi sina uzoefu na ligi ya Spain.. Nauliza kama hii mechi ya Eibar vs Celta vigo inaweza kutoa hata goli moja.
Nataka kujilipua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…