Winners Tips Tz
Member
- Dec 6, 2017
- 29
- 19
Wakuu nahitaji msaada wenu tafadhali
Nilikuwa natumia 1xbet,na kudeposit ilikuwa ni M-pesa na tunajua kua wameifyekelea mbali
Baada ya kuchoshwa na ubaradhuli wa bet company nyingine nikarudi 1xbet kwa kutumua bitcoin..nikaplace bet nikawin,nilopotaka kuwithdraw ikashindikana nikawacontact wakanijibu hivi
Wanachokimaanisha hapo haswa nini wakuu??
Je wale mnaotumia bitcoin au mliowahi na kabla mlikuwa mnatumia mobile money hili tatizo hamjalipata??
View attachment 1036868
Nanyi pia, wakati tunamsubiri boss Void tuendelee kuokota okota nasiUbarikiwe mkuu
Naona wanamaliza kazi kipindi cha kwanza
Nipo mkuu si unajua mambo ni mengi halafu muda ni mchache.
Nipo mkuu si unajua mambo ni mengi halafu muda ni mchache.
Genoa kachana mkeka wangu nilimpa over 1.5 1hWale Wa GENOA Ht over 0.5 odd zimenoga huko
Atatema second half maana Fronsinone amekula umemeWale Wa GENOA Ht over 0.5 odd zimenoga huko
Sure second half anaweza fika matatu
Under second half sikushauri mkuu, kwani anadalili za kutema second halfGenoa kachana mkeka wangu nilimpa over 1.5 1h
Ngoja nimvizie under anirudishie mtajiwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuhusu kiasi mbona kama ukiweka below walichokirecommend hautaweza kuclick hata ile withdraw button..Hapo kuna vitu vya kuangalia ?umeweka sh ngapi na unataka kutoa sh ngapi? Pia ukumbue ukiweka pesa 1xbet ni lazimia ubetie kwa odds kuanzia 1.1 ndio uweze kuitoa
Pia kuna upotoshaji kwamba ukiweka kupitia btc utoe kupitia btc sio kweli.1xbet inaruhusu kutoa kwa njia yoyote unayohitaji provided ipo listed pale kwenye withdrawal page
Nilimpa kwenye mkeka wa timu tanoUnder second half sikushauri mkuu, kwani anadalili za kutema second half