Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Message Sent and Received naona Tiki za Blue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata ukiniita kenge haibadilishi upopoma wako Unafeli mkuu kwani kutoa tu maelezo haitoshi mpaka utudanganyishie mkeka? Hata ukitukana haisaidii Maana hakuna tusi jipya ambalo sijawahi kulisikia kila siku yale yale yanajirudia

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ok,usipende kushobokea wanaume.
 
Ok,usipende kushobokea wanaume.

Sasa wewe unaandika stake Millioni ili sisi tuone ili iweje hasa wakati moyoni mwako unajua kabisa hiyo kitu haipo what For ? Kwanini Uteseke? Hakuna atakayekusifia humu jf hakuna anayekujua Daah Umasikini mbaya sana , Andika namba yako ya tigopesa hapo nikutumie Buku Ubetie au njoo pm hapa usije ukaaibika

Wewe mwenyewe unafanana na buku mzee.
Mtu unaiogopa stake ya 1000,000 halafu unajiita tajiri si aibu hii?
 
tentententen
Tu
Screenshot_20190309-165436.png

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka 5000,000 upige mpunga
 
Back
Top Bottom