Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_7599.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama hujalipia kwa as vita badilisha bora umpe 1x ingawa mimi naamini vita anashinda mapema kabisa
 
:::::08 /03/2019::::
::::::::::MAXBET:::::::::
Juventus
VS
Udinese
:::::: 1 ::::::✅✅✅✅✅✅✅
Al Jazeera
Amman
VS That
Ras
::::::1::::::✅✅✅✅
Den Bosch
VS
Helmond :::::1::::::✅✅✅✅✅
Jong PSV
VS Jong
Utrecht
:::::: 1 ::::::::✅✅✅✅✅✅✅
Gaziantep
VS
Elazigspor
::::::1✅✅✅✅✅
DNB :::::::
Kalju VS
Paide::::::: 1 :::::✅✅✅✅✅
Dundalk
VS
Waterford
:::::::1 :::::::✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
:::::::😡99tipster:::::::
 
➡️ GREECE SUPER LEAGUE
➡️ Date : 09/03/019
➡️ Match : XANTHI - ASTERAS
➡️ Time : 17:00
➡️ Tips : [ 0-0 ] Ht
➡️ Odds : 3.97
➡️ Sure 😡99tipster
 
MAXBET ALL


:::;Date 9/03/2019::::::
:::::::::::Maxbet:::::::
Bayern
Munich VS
Wolfsburg
::::::1 :::::::
14:30 GER Dortmund VS
Stuttgart ::::::1::::::::
Grasshoppers
VS Young
Boys
::::::::2:::::::::
Chievo VS AC
Milan ::::::2
WEH ::::::::
Olimpia
Asuncion VS
River Plate
:::::::::1:::::::::
PSV VS Breda Over
:::::::;2.5 ::::::::::
17:30 EPL
Manchester
City VS
Watford
::::::::::1 :::::::::
:::::::::"@99tipster:::::::::
 
Kama umekuwa kwenye betting in more than 3years hupaswi kukosea mikeka mitano mfululizo na unapaswa kujua basic principles za kuwin mara nyingi... Ndani ya mwezi huu nimezisimamia no matter what na kwa mara ya kwanza nimepata profit ya laki 4 kwa mwezi..Kwa atakayependa ajaribu kutembea nazo. Mm nina principle hizi.
1. Chaguo liwe na odd nzuri. mfano mm lazima liwe na odd kuanzia 1.4
2. Away team simpi win. hata awe na form nzuri kiasi gani.
3.Fuata hisia zako kwanza then angalia hustory na current performance kujiridhisha
4.Weka mechi chache kwa mkeka kwangu mm siweki zaidi ya tano.
5.Usibeti kila siku angalia siku zenye mechi zenye matoke tarajiwa.
6.Fahamu vyema best option kwako. kwa mfano mm huwa ni double chance, win na corners kule 1xbet.
7. Kuwa na list ya team ambazo mara nyingi zikiwa uwanjani zinakupa matokeo chanya. mech za kirafiki binafsi sibeti. hata iwe Mbao fc na barcelona
kwangu mm team ambazo mara nyingi nazitumia Midtyland, Koln, TNS, Luton, n.k hizi nimeziweka kabisa katika myteams ya flashscore zikiwa na game napata alert
8.Kuwa na kiwango cha kubeti kwa siku. usiiweke yote mkeka mmoja acha backup. hii imeniokoa mara nyingi kupunguza kiwango cha hasara.
9.Jizuie sana kuwa na tamaa ya pesa nyingi at once. Nakumbuka niliwai pata laki saba kwa buku 3 mwaka 2017. Mechi niliweka nyingi mnoo zaidi ya 15. Hili halijawai kujirudia licha ya kujaribu mara nyingi mnoo walau kupata laki 2 ama 3 haikutokea. Hapo kati nimepigwa sana zaidi hata ya hiyo laki saba.
10. Kila mmoja ana namna yake ila ukitaka kuwa consistence kwenye kupata set your own principles otherwise itakuwa ni ngumu sana kuona matunda ya betting.

Mechi za leo nilizoweka

Vita 1X
Soura win
Basel 2X.2+
TNS 3+

Kukosa kupo but chances are higher when you stick into your own principles.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom