Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Next time kama unaweka mzigo hivyo achana na ushindi wa kawaida pambana na corner hasa individual au kadi na option nyingine ambazo zina 85%ya kutoka
Kabisa mkuu.. Ila sema nimekurupuka sana.. sijui kwanini!
Ila nimezoea kumla Khanji kwa style hii ila leo nimekurupuka kumuweka Celtic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naapply formula Hii mzee babaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…