Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah kuna mechi moja Ujerumani inanipa presha sana, maana hao jamaa kama watashinda
nina uhakika wa mil.2 Wanaitwa Borusia Moncheg. Tatizo kwenye mikeka 10 niliyotandika
wao wapo kwenye mikeka 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…