Jahlex
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 512
- 604
Odds za Inter na Villarreal hadi zina ogopesha aiseePesa hiyo tukutane baada ya dakika 90 za mchezoView attachment 1045715
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi inaogopesha sijui nini kimejificha ndani yake ila ukiangalia vikosi nikama vipo okOdds za Inter na Villarreal hadi zina ogopesha aisee
Ina maana hizi timu hazipo kwenye form nzuri?
Mbet wamebana kwengine ni Villarreal 2.05
STAKEWIFE & CHILDREN
MAXBETView attachment 1045425
Wadau hapa ushauri wenu ni muhimu sana maana hizi milioni 500 zinanitoa jasho
ni bora kufa wakati unajaribu hapa nimeweka laki moja yaani nataka kutandika mikeka
50, ushauri maoni vinakaribishwa.View attachment 1045468
Mkuu kurudia game kwa option ile ile kwenye mkeka ni moja ya dhambi nina iyogopa kuliko dhambi zote kwenye kubet
Au unajitosa huku unakuwa kwenye uvumilivu wa wiki nzima kwa odd 1000+Wakati mwingine Unajitoa ufahamu
Unastake hata buku au mia tano tuView attachment 1045709
Big up mkuu!!.. Hili kokoro 90% liko salama.. Ngoja nijaribu kuliangalia kwa mara nyingine.Au unajitosa huku unakuwa kwenye uvumilivu wa wiki nzima kwa odd 1000+View attachment 1045751View attachment 1045752View attachment 1045753
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo anatokea mjinga mmoja anpiga draw sasaBig up mkuu!!.. Hili kokoro 90% liko salama.. Ngoja nijaribu kuliangalia kwa mara nyingine.
Iko safi ila huyo Celtic hakawii kutia gundu.Au unajitosa huku unakuwa kwenye uvumilivu wa wiki nzima kwa odd 1000+View attachment 1045751View attachment 1045752View attachment 1045753
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, ila orodha ni ndefu hivyo anayetiliwa mashaka anatolewa tu. Na pia unaweka stake ndogo tu hata mia tano tu kujaribu bahati, sio lazima kuitamani mil 10+ kwa kuweka stake kubwa.Iko safi ila huyo Celtic hakawii kutia gundu.
red 1 - 1napoliWakati mwingine Unajitoa ufahamu
Unastake hata buku au mia tano tuView attachment 1045709
pending payment...tentententePesa hiyo tukutane baada ya dakika 90 za mchezoView attachment 1045715
Sent using Jamii Forums mobile app
Lost mapemaaaaWakati mwingine Unajitoa ufahamu
Unastake hata buku au mia tano tuView attachment 1045709
Aisee... Huko kaharibu huku katengeneza daah.Lost mapemaaaa
Chelsea naye kwa sifa
Kaniharibia under yangu inplay