Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Inaitwa kufa kufaanaAisee... Huko kaharibu huku katengeneza daah.
Kanichania odd zangu 6 dk za majeruhi
Inaitwa kufa kufaanaAisee... Huko kaharibu huku katengeneza daah.
Odds za Inter na Villarreal hadi zina ogopesha aisee
Ina maana hizi timu hazipo kwenye form nzuri?
Mbet wamebana kwengine ni Villarreal 2.05
Cheza both team scoresHyo ya Inter kwa mfano ningumu sana kutabiri coz Frankfurt huwa ni watu wa magoli mengi na Inter ni Wazee wa defence,inter yupo nyumban lakn Striker wao nyota Icardi wamezinguana na Club so hachezi na hawana mbadala mzuri vile vile hawakupata away goal mechi ya kwanza (0-0) so sahv Frankfurt akipata hata goli moja tu away,inter ana hali mbaya...hvyo hii game iko tight sana chochote kinaweza tokea.
Acha Mkuu ananifurahisha.Chelsea anafanya mauaji sasa
Chelsea siyo ya kuiamini sana kwenye under, huwa sometimes wanageuka hata kama bado dakika 2Inaitwa kufa kufaana
Kanichania odd zangu 6 dk za majeruhi
Naona sijui anataka draw
Valencia nahitaji goli moja tuuu
Yan washukuru hilo goli moja lililowavushaNapoli kaongezwa hahaaa...aiseee odd zangu zimeitika