Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds za Inter na Villarreal hadi zina ogopesha aisee

Ina maana hizi timu hazipo kwenye form nzuri?

Mbet wamebana kwengine ni Villarreal 2.05

Hyo ya Inter kwa mfano ningumu sana kutabiri coz Frankfurt huwa ni watu wa magoli mengi na Inter ni Wazee wa defence,inter yupo nyumban lakn Striker wao nyota Icardi wamezinguana na Club so hachezi na hawana mbadala mzuri vile vile hawakupata away goal mechi ya kwanza (0-0) so sahv Frankfurt akipata hata goli moja tu away,inter ana hali mbaya...hvyo hii game iko tight sana chochote kinaweza tokea.
 
Cheza both team scores

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…