Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

VAR to be used, nikasema NO. Refa alivyo na sifa akaenda kuitumia, nika lost.
Total left goal under 0.5, lost
Eti messi anaenda kupiga penalty na mguu wa kushoto
 
VAR to be used, nikasema NO. Refa alivyo na sifa akaenda kuitumia, nika lost.
Total left goal under 0.5, lost
Eti messi anaenda kupiga penalty na mguu wa kushoto

Mkuu hizi options zinapatikana kwenye kampuni ipi ya betting?
 


Daah nimemchelewa Mr Opulence. Naona nyingine zimeshatoa, anasubiriwa FC Astana tu. Huyu sina mashaka nae, waliofuata hizo tips wajiandae mwendo wa kwenda kwa wakala.

Mr Opulence yuko makini sana. Anafaa kumfuata kwa ule utaratibu wa daily Rollover.

Asante Pdidy, japo nimechelewa hii.
 
Kwa Mnao tumia Betpawa vipi game ya Inverness vs Ross County ( Scotland)mnaiona!? Nimeitafuta Sana ila wapii siipati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…