We jamaa hatari.AISEEE...!!!View attachment 1046410
Mkuu huwa unajuaje kuwa 1H itatoa 0.5 au 1.5?AISEEE...!!!View attachment 1046410
Jamani kwema bandugu?Habarini za.kazi na poleni na mapambano na hawa majangili wa hela zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante MkuuAiseee ngoja niwe serious nitafute line ya safaricom nipate udambwi dambwi kama wote..btw hongera kiongozi.
Hatari MkuuWe jamaa hatari.
Ni shiida.
Kama inasumbua, achana naoNimejaribu kudeposit hela kidogo toka saa 11 jioni but transaction ID/code hao M-LIPA hawajanitumia hadi sasa hivi, full usumbufu nawapiga chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa nawakubali sana, kama wakirekebisha tatizo lao la server error basi nitarudi kwao mazima
Ukiwa na App yao Kidogo unaweza kutuma, kuliko kutumia browserHawa jamaa nawakubali sana, kama wakirekebisha tatizo lao la server error basi nitarudi kwao mazima
Sent using Jamii Forums mobile app