Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
Naweza kusaidia Safarcom ukihitaji.Aiseee ngoja niwe serious nitafute line ya safaricom nipate udambwi dambwi kama wote..btw hongera kiongozi.
Shalom mzalendo na kijana muaminigu kuliko wote ulimwenguni bwana Internal
Shalom Mkuu. Kumekucha salama uko?Shalom mzalendo na kijana muaminigu kuliko wote ulimwenguni bwana Internal
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nione leo kama nitapata Japo 1.80 odd sure betKabisa Mkuu!
Jana in play ilinipa laki
Nilikuwa kwenye form Kali kama mdomo wa manara yule mbwatukaji wa simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi. Unaweza jikuta wewe ukawa unawachangia hao m-betting.Mara nyingi nilikuwa nafanya mapuuza, nilikuwa siamini kama unaweza kupata fedha nyingi kwa kutabiri ushindi wa miongoni mwa timu zinazoshiriki ligi mbalimbali duniani.Nimeamini ni kweli baada ya wiki iliyopita kushuhudia mfanyakazi mwenzangu akiingiziwa kwenye akaunti yake ya M-pesa kitita cha Tshs 20,000,000/= baada ya utabiri wake kuwa sahihi katika moja ya timu inayoshiriki ligi ya Uingereza (EPL),kwa kweli imeni inspire na mimi sasa nianze rasmi kubet,lakini ndio hivyo sasa sijui naanzaje ili na mimi nihesabike ni miongoni mwa wanaobet. Msaada tafadhali jinsi ya kujisajili na M bet!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ilikuwa vita! Nilianza na 10 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja nione leo kama nitapata Japo 1.80 odd sure bet
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa ila umeongeza chumvi hapo kwenye kiasi kilichoingizwa mpesa kwa taarifa ako laini ya kawaida mwisho wa kiasi ni mil 5 ndo inaingizwa ila kuhusu kubeti nakushauri beti tu ila usiwe mlevi wa kubeti utaumia narudia tena utaumiaMara nyingi nilikuwa nafanya mapuuza, nilikuwa siamini kama unaweza kupata fedha nyingi kwa kutabiri ushindi wa miongoni mwa timu zinazoshiriki ligi mbalimbali duniani.Nimeamini ni kweli baada ya wiki iliyopita kushuhudia mfanyakazi mwenzangu akiingiziwa kwenye akaunti yake ya M-pesa kitita cha Tshs 20,000,000/= baada ya utabiri wake kuwa sahihi katika moja ya timu inayoshiriki ligi ya Uingereza (EPL),kwa kweli imeni inspire na mimi sasa nianze rasmi kubet,lakini ndio hivyo sasa sijui naanzaje ili na mimi nihesabike ni miongoni mwa wanaobet. Msaada tafadhali jinsi ya kujisajili na M bet!
Sent using Jamii Forums mobile app