Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Narudia kuuliza Mkuu na kwa niaba ya wengine nini siri ya kuziotea draw..? Ni kweli unaangalia uwiano wa odds kama ulivyosema au kuna kingine Mkuu?
 
Narudia kuuliza Mkuu na kwa niaba ya wengine nini siri ya kuziotea draw..? Ni kweli unaangalia uwiano wa odds kama ulivyosema au kuna kingine Mkuu?
Nikiwa na muda wa kutosha, kabla sijaweka bet huwa pia napitia msimamo wa ligi husika, kuangalia timu mbili zinapishana kwa tofauti gani
 
Kwa kuangalia historia ya game 5 zilizopita kwa hizi timu, nahisi kuna magoli mengi yanakuja kwny hii mechi. Tujiandae kurusha ndoano

 
Duh! Mbet! Hiyo ni baiskeli, tafuta bajaji au tax mkuu.
 
Daa kama vile kuna ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikijaribu hiyo inakataa

Au ni dalili ntapigwa
 
Amen[emoji818][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…