Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
Asante mkuu mm mamuua Simba na souaraNenda Parimatch mzee Simba kapewa odds 2 Vita odds 3
Asante mkuu mm mamuua Simba na souaraNenda Parimatch mzee Simba kapewa odds 2 Vita odds 3
- Bournemouth vs Newcastle-Player red card NO
- Burnley vs Leister city-Player red card NO
- Sassuolo vs Sampdoria-Player red card NO
- SPAL vs AS Roma-Player red card NO
- Real Madrid vs Celta Vigo-Player red card NO total ODDS 2.27 stake 300,000 uhakika 5000 percent.....Mungu ameumba jambo jipya kila mtu atalinda mtaji wake...AMEN.
Mkuu tathmini inapunguza kidogo riskKubet ni kubet tu, kwani hizo mechi zingine refa hana red card? Na zenyewe pia inawezekana zikawa na red card.
Mzee naomba kukuuliza betpawa izi game niza live auNdoano ya kwanza
ImoooView attachment 1046818
Shukrani again aisee....Safaricom yangu inapiga mzigo tu na pesa inaingia 1xbet. Kuna wadau walionifata inbox kuhusu line nimewaelekeza waje kwako
Post ni nguzo ya pembeni katika zile nne zinazokamilisha goli, Crossbar ni ile nguzo moja ya juu katika goli
Kubet ni kubet tu, kwani hizo mechi zingine refa hana red card? Na zenyewe pia inawezekana zikawa na red card.
Pamoja sana mkuu. Wamekuja, lakin wengj uoga wa kutapeliwa. Atakaejitoa uoga nitamsaidia, uaminifu umepotea san.Shukrani again aisee....Safaricom yangu inapiga mzigo tu na pesa inaingia 1xbet. Kuna wadau walionifata inbox kuhusu line nimewaelekeza waje kwako
Yakwangu inapiga kazi kama kawaida na inalipa kwakweli kutumia 1xbet, makampuni ya kibongo michosho mitup.Pamoja sana mkuu. Wamekuja, lakin wengj uoga wa kutapeliwa. Atakaejitoa uoga nitamsaidia, uaminifu umepotea san.
Sent using Jamii Forums mobile app
PrincessbetMechi ya Simba na Vita inapatina kwenye kampuni gani?
Sportpesa ipo sijajua meridian Kama IPO pia..Betpawa ma pmbet hawana mechi ya Simba na ya souara , na pesa ipo hapo nitazipata kampun gan?
Nasemajee....Player red card BIG NO
Mnaotaka line za safaricom muaminini uyu jamaa....nimepata line mbili tokea kwake, jamaa ni mwaminifu aiseeePamoja sana mkuu. Wamekuja, lakin wengj uoga wa kutapeliwa. Atakaejitoa uoga nitamsaidia, uaminifu umepotea san.
Sent using Jamii Forums mobile app