Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Acha mkuu, hakupata goli
Mkuu, nilikuwa sijawahi kuicheki ""Mcheza"" aisee wako bomba sana.Bongo atleast wanaowakaribia 1xbet kwa option ni Meridian bet na Mcheza tu..Wengine wote chenga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi?Mkuu, nilikuwa sijawahi kuicheki ""Mcheza"" aisee wako bomba sana.
Vipi kuhusu ""kuWITHDRAW""? Inachukua muda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua mcheza wanataka password za aina gani maana kila ninapoweka wanakataaMkuu, nilikuwa sijawahi kuicheki ""Mcheza"" aisee wako bomba sana.
Vipi kuhusu ""kuWITHDRAW""? Inachukua muda gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
bro unatumia bank kwenye 1xbet au wanesharudishaKwasisi mashabiki wa Yanga, mzani unakuwa umebalance!!View attachment 1047227
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u anakata kiunoLet's Go Wolverhampton vs Man United, natafuta GG tu hii second half ili nimbamize kanji 895K kwa Dau la Tsh 1551.
Na viodd vyake uchwaraMkeka wangu ulikuwa tayari kwa asilimia 90 tangu jana.. Fayenoord anauchana muda huu..
Mtaji wangu woote kaondoka nao huyu mpuuzi.
View attachment 1047295