anderson mbonika
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 111
- 56
We acha tu Kama Brent Ford nilimuomba 2+ na odds (1•18)meshindwa afu Yupo kwake...!!Tena hao wenye odd za 1.22 ndio wachawi wakubwa
Jeonbouk motors naye fala kapigwa moja..We acha tu Kama Brent Ford nilimuomba 2+ na odds (1•18)meshindwa afu Yupo kwake...!!
View attachment 1047403
Hatari Mkuu
Luton nae kaharibu sherehee na vi Odds vyakee... Jana ilikua siku mbovu...!!
Jana nilidhani upande wangu tu..Luton nae kaharibu sherehee na vi Odds vyakee... Jana ilikua siku mbovu...!!
Hiyo million mbili iko wapi hapo kwenye mkeka mbona watu mnakuaga na swaga za kitoto sanaHivi kweli Brent Ford wewe ndo wakuninyima mm million 2 odd zangu zote zimetiki kasoro weweView attachment 1047310
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wengi tuliopokea vipigo...!!
Unaandika maelezo mkeka hauonyeshi hela unayodai kula,!!No kweli kabisa Mkuu, ndio maana wahuni tukamwotea Kanji na kumla kiboga cha Tsh Tsh 895,495 kwa Dau la Tsh 1551 tu [emoji120].
View attachment 1047385
Kamamake zake huko aliko [emoji15][emoji12].
Mzee baba nikikuona tu umeibuka najua mkeka wa hela..ngoja twende pamojaMkeka 1
Real Oviedo win odds 1.84
PSV win odds 1.29
Juventus win odds 1.67
SD Eibar win odds 1.66
Liverpool win odds 1.26
Eintracht Frankfurt win odds 1.41
Atalanta win odds 1.22
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendelee Mkuu! Nina loss ya 20 hivi, Jana, nataka irudishaAisee Australia wameanza vizuri magoli matatu HT
Juve nna wasi wasi nae Genoa wanawasumbuaga sana last match walidraw juve akiwa homeJuve alivyo na sifa anaweza aka drop Leo..