Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

.
2019-03-17-14-13-54.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Kumepoa Humu Ndan Au Ndio Hali Ngumu Mpaka Kwenye Betting???
 
We badala ya kuchukua tip inayo kufaa una ombea mkeka uchanike wabongo sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekupa tu tahadhari ili usiweke tumaini lote uweke na mingine, ndio maana nikasema kwamba unaweza kuchanika vibaya yani katim kamoja tu.
Sheria ya favourite team dhidi ya underdog inafurahisha sana😂😂
 
Back
Top Bottom