Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Taratibu
Screenshot_2019-03-17-16-12-37-1.jpeg
 
Sijajua sababu ya kupumzisha key players wake wote ...

- Chiellini
- Matuidi
- CR7
- Khedira etc



Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitoa mkeka bila kuichambua hii game, nikastuka nilipoona comment yako mkuu kuhusu juve, nikaiwahi kuweka double chance nikarudisha mtaji...wapumbavu Hawa waitaliano..wacheza kamari..!!
Screenshot_20190317-162732~2.jpg
 
Bayer Leverkusen mungu anawaona. Mpaka sasa mpira unaelekea ukingoni hawajalenga golini hata mara 1 🙂😉🙁😡😕😎😛😱😳🙄😵
 
Back
Top Bottom