Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu niaje, mimi ni mtumiaji hasa wa M-bet, Kwenye Soccabet au Mkekabet hii Promo Code inakuwaje??
 
Na kwenye Soccabet Hii ina maana gani?
Capture.PNG
 
Hivi ukimpa Fulham direct win odd 15 ukitupiamo ka elf5 itakuaje?

Najaribu kufikiria nje ya box
Screenshot_2019-03-17-17-15-19-1.jpeg
 
Mkuu, sikuchawii ila Everton wana mpira mbovu sana hatoki leo.
Na betis sizani kama ataweza kurudia alichokifanya mara ya kwanza keshakuwa mdebwedo anapigwa hovyo hovyo
Yeah ni ngumu but nimestake buku tu hapo kama kujaribu japo unaweza mpa Chelsea nae asishinde
 
Back
Top Bottom