Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kuna jambo limenifanya nitafakari sana kuhusu hatma ya betting industry.

Hivi kweli Juventus ni ya kupigwa 2-0 na Genoa? Au kuna ma_shwain huko Italy yanafanya consipiracy kuharibu mikeka ya watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Head-to-Head ina mfavour Ajax, lkn siku ya kufa nyani ... miti yote inateleza.

Screenshot_20190317-181208_1552835550642.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom