Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yan kanji anaakil sana na ukimjulia unamla ukiona timu ina uhakika wa kushinda na kanji kaipa odd nying we iue tu! Mfano gemu ya Torino na bologna Jana kanji aliipa odd nying home timu ili tujikoki kanji ana technique za kututapel kwenye odds tu
 
Juve amekuwa Jiwe...Bayer kama kawa anaendelea kuwasalimu
 
Back
Top Bottom