Wewe jamaa odd 508 ukiweka buku 5 n kiasi gan? Na je umeshawah onna mkeka umechanika ukaona kiasi ambacho ungepata? Siiinabaki odd tu.mbona unakiwa Kama ndo umeingia kwenye betting leoHiyo million mbili iko wapi hapo kwenye mkeka mbona watu mnakuaga na swaga za kitoto sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi Cha pesa ambacho utapata itaonekana tu kabla mkeka haujachanika ikisha chanika huoni inabaki odd tu. Au kwako hata ikichanika inaonesha bado?Hiyo million mbili iko wapi hapo kwenye mkeka mbona watu mnakuaga na swaga za kitoto sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Juve nna wasi wasi nae Genoa wanawasumbuaga sana last match walidraw juve akiwa home
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure kabisa nimewapa ili nipate mtaji wa game za jion ndo washachoma kazi
Wale wanzao wa asubuh nimewapa over ya magoli 3wametoa huyu mbuzi nkampa win ameondoka na Ksh.650Sure kabisa nimewapa ili nipate mtaji wa game za jion ndo washachoma kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanzao wa asubuh nimewapa over ya magoli 3wametoa huyu mbuzi nkampa win ameondoka na Ksh.650
Sent using Jamii Forums mobile app
app gani hiyo mkuu