Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu kuna jambo limenifanya nitafakari sana kuhusu hatma ya betting industry.

Hivi kweli Juventus ni ya kupigwa 2-0 na Genoa? Au kuna ma_shwain huko Italy yanafanya consipiracy kuharibu mikeka ya watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…