Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha ni share kitu flani hapa ,mm mkeka wng hua hauzidi timu mbili na nnachokitafuta hua ni odd 2 tu kwa kula mkeka!!so timu ikiwa na odd mbili afu nkaiaminia(MF.simba Jana)siongezi timu nyingine kwenye Huo mkeka nauplace single!! Sasa nachofamya kwenye zile timu nlizozipa direct win hua natengeneza single slip ya zile timu nlizoziua kwa kuzipa 0.5 over (to score) hii mbinu inanisaidiaga kucover loss kama ikitokea hizo timu zikaangukia pua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu huwa na utaratibu wake, m kila mkeka mchawi m1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odds 997 hzo unaweza ukaweka jero tu ila asilimia za ushind ni ndogo ila uzuri wake kanji huwa anaogopa na kuruhusu cash out mapema kama timu ikiwa 2-1, 3-0, au 1-1 kanji anatoaga mpunga
 
Odds 997 hzo unaweza ukaweka jero tu ila asilimia za ushind ni ndogo ila uzuri wake kanji huwa anaogopa na kuruhusu cash out mapema kama timu ikiwa 2-1, 3-0, au 1-1 kanji anatoaga mpunga View attachment 1047934
 
Kanji ana bahati, nilikuwa na mkeka wa timu ishirini odds 105..kama isingekuwa upuuzi wa Atalanta, Fayenoord na Torino.. ningekuwa nasubiri ushindi wa PSG ili nimpige laki nne na ushee kwa buku mbili.
 
Kanji ana bahati, nilikuwa na mkeka wa timu ishirini odds 105..kama isingekuwa upuuzi wa Atalanta, Fayenoord na Torino.. ningekuwa nasubiri ushindi wa PSG ili nimpige laki nne na ushee kwa buku mbili.
Hapo ungezigawa timu nne nne ukaweka ela ya maana ungekuwa tajiri, tatizo letu ni tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…