Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Uu uoga sio nilitaka nilipuke laki baada yakuliwa mchana
IMG_1585.JPG
IMG_1586.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi Kuu nchini England, Chelsea imetandikwa goli 2-0 na Klabu ya Everton huku Klabu ya Liverpool ikipata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Fulham
Nchini Italia, Klabu ya Juventus ikiwa ugenini imebamizwa goli 2-0 na Klabu ya Genoa huku klabu ya Napoli ikipata ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Udinese
Nchini Ujerumani Klabu ya Bayern Munchen imeitandika klabu ya Mainz 05 goli 6-0
 
German ligi yao bana yani ligi inaanza mshindi keshajilkana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu ... yani InPlay juz kati nimeliwa 200K ndani ya masaa mawili tu or so.

Unaangalia shots on target zinafika zaidi ya 5 unajipa matumaini kuna goli, unajilipua ... cha kushangaza goli halipatikani.
Weka under sasa. Yani muda mwingine unahisi kuna uchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes bet kona inplay inalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom