allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,177
- 820
Inplay inabidi uwe na balance ya kutosha utamfaidi vizuri..Aisee hiii noma leo, Inplay inamaliza pesa mamaeeeeeeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Inplay inabidi uwe na balance ya kutosha utamfaidi vizuri..Aisee hiii noma leo, Inplay inamaliza pesa mamaeeeeeeeeeee
Aisee hiii noma leo, Inplay inamaliza pesa mamaeeeeeeeeeee
Valencia walikua wanashambuliana vibaya mno, ikafika dk ya 30 Odds za Over 0.5HT zikawa 2.36 nikajilipua nikijua kuna goli sabab ya mashambulizi...doh ndio kwanza mpira unaishia kugonga nguzoPole sana mkuu ... yani InPlay juz kati nimeliwa 200K ndani ya masaa mawili tu or so.
Unaangalia shots on target zinafika zaidi ya 5 unajipa matumaini kuna goli, unajilipua ... cha kushangaza goli halipatikani.
Weka under sasa. Yani muda mwingine unahisi kuna uchawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nililiwa kuna siku hadi nikasema sitabet tena,in play hatari sana ,utazani kuna mtu anakuchezeshea,ukiweka over unapigwa ,ukiweka under ni balaa tena yani sikuamini,nikaugua siku mbili mana nilipumwa balaaPole sana mkuu ... yani InPlay juz kati nimeliwa 200K ndani ya masaa mawili tu or so.
Unaangalia shots on target zinafika zaidi ya 5 unajipa matumaini kuna goli, unajilipua ... cha kushangaza goli halipatikani.
Weka under sasa. Yani muda mwingine unahisi kuna uchawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hingera japo sijajua kuusu iyo Az AlkmarEverton - odds 4.6
Az Alkmaar - odds 4.5
Genoa - odds 5.25
=======
Total odds = 108
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari MkuuEverton - odds 4.6
Az Alkmaar - odds 4.5
Genoa - odds 5.25
=======
Total odds = 108
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwa baca nakuombea ukose maana kashikilia elf 6 ksh.yngBetting sometimes huwa nibahati tu, naona kanji ashaingiwa na uoga anajua ntampiga laki kwa buku naona kwenye cash out ananipa elfu ishirini na saba ila nimemwambia bora uchukue zote sicash out mieView attachment 1047905
Chukua hiyo hela barca hii ya Ndembele ni moto sana.Betting sometimes huwa nibahati tu, naona kanji ashaingiwa na uoga anajua ntampiga laki kwa buku naona kwenye cash out ananipa elfu ishirini na saba ila nimemwambia bora uchukue zote sicash out mieView attachment 1047905
Me mwenyewe huyu Chelsea fundi wa kunichania mikeka sijui niliwashwa washwa nini kumuamin atapata goal half timeYani nampitaga tu leo sijui imekuaje itakua vipigo vimenichanganya nikajikuta naselect anyway hii siku ipite tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha betis kumpiga barca ni ngumu we una nafasi kubwa ya kupata hyo hela coz barca ana asilimia kubwa za kushinda