Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ligi Kuu nchini England, Chelsea imetandikwa goli 2-0 na Klabu ya Everton huku Klabu ya Liverpool ikipata ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Fulham
Nchini Italia, Klabu ya Juventus ikiwa ugenini imebamizwa goli 2-0 na Klabu ya Genoa huku klabu ya Napoli ikipata ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Udinese
Nchini Ujerumani Klabu ya Bayern Munchen imeitandika klabu ya Mainz 05 goli 6-0
 
German ligi yao bana yani ligi inaanza mshindi keshajilkana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes bet kona inplay inalipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…