Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata hivyo mechi ya man city haina odds nzuri kama draw weka ya madrid wote wawili hata kwa jero unapiga hela

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Rockcity native ebu nisaidie, Meridian kwenye sehemu ya Under/Over 2.5 kuna 0-2 na 3+ sasa hapa kama nataka kubet magoli mawili au zaidi, inakuaje?
 
Last edited by a moderator:
Rockcity native ebu nisaidie, Meridian kwenye sehemu ya Under/Over 2.5 kuna 0-2 na 3+ sasa hapa kama nataka kubet magoli mawili au zaidi, inakuaje?

ipo option ya 2+ hata kama kwenye ubao wao hawajaiweka we ichague kwenye system inakuwepo
 
Last edited by a moderator:
Screenshot_2014-08-25-14-03-17.png
Mkeka wa leo huo wazee wenzangu
 
Man city 6/1 kuipiga Liverpool , ntakufa nayo hii price
 
forest green huwa nawakubal sn but odds kapewa nyng sn znaniogopesha.
 
Back
Top Bottom