Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

asante mkuu, vipi kadi za hawa NBC zinakuwa zipo linked moja kwa moja na online purchasing...au mpaka activation? hawa CRDB wamenichosha kwenye activation
Exactly fibonacci hizi kadi za NBC ziko enabled moja kwa moja kulipia online hamna usumbufu kama wa CRDB
 
Ngoja nisepe manake hapa hata sijui kinazungumziwa kitu gani.

Nilidhani pekeyangu, kumbe hata wewe Muzee ya sikumingi!.....yani ni kama yalr yanayohusu kuuza ma kununua hisa! Ni maluweluwr tu kwangu!
 
Braga kanichania mkeka kudadadeki nimekosa 270,000 hivi hivi Loooh!!!

Mi baada ya Forest kuharibu mambo nikakimbilia kwa mzungu kutengenrza wa kulalia nikaweka kalmar. Jonkopings. Orgryte. Carlstad utd. Osters na barow.. Nikaweka buku 10 naamka na 120,000 dahhh at least moyo umetulia hapa mana mzungu tayari leo aliondoka na 20 yangu sasa kibao kimemgeuka
 
Mkuu Kwa Bet365 ,ni lazima waombe ID kama driving licence, national id au birth certificate

Mkuu hio ilikua zamani, sasa hvi bank details zako unazowapa zinafanya verification automatic so hakuna longo longo tena,
 
Mkuu hio ilikua zamani, sasa hvi bank details zako unazowapa zinafanya verification automatic so hakuna longo longo tena,
Mkuu labda kwa hizo betting site zingine lakini sio kwa bet 365. Mi mbona nilijiunga mwezi wa saba na bado walihitaji vitambulisho na wakanitumia na barua yenye postal verification code (nikipata mda nitaupload picha ya hiyo barua) hata hivyo nadhani inategemea na nchi uliyopo
In short verification process ina complication kibao sababu siku hizi frauders ni wengi
 
Draw bado ni mwiba kwenye soko la kubet, mi bado nimekaa pemben napiga hesabu za kukabiliana nayo
 
Acc yangu meridian ina elf 50 leo naicheza yote kwny carling na ucl...wafe meridian au nife mm

Na kwa muhindi naenda kucheza vilevile
 
Acc yangu meridian ina elf 50 leo naicheza yote kwny carling na ucl...wafe meridian au nife mm

Na kwa muhindi naenda kucheza vilevile

Kie kie kie mkuu , you are brave, unawekeza mpaka.mtaji???????
 
Acc yangu meridian ina elf 50 leo naicheza yote kwny carling na ucl...wafe meridian au nife mm

Na kwa muhindi naenda kucheza vilevile

usitumie hasira ndg,Ukiweka hyo 50 then tafuta pain killer.
 
Wakuu naomba kujua bei za odd kwenye hiyo bet365 kama inafaida zaid ya hiz za hapa bongo
 
Back
Top Bottom