Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi nadhani sahivi watu tudili sana na hizi option special kama redcad,yelow,corner,under na over, kuliko kudili sana na final results
 
hapo sawa vipi uliweka game ngapi kwani

niliweka gemu tatu tu...mi huwa nataka gemu chache as possible ambazo zitaleta odds 1 na vipoint kadhaa...ili mradi nidouble pesa nloweka! kwenye hii option kuna gemu zina odds nzur kwa accumulator mfn. hii ya barca ilikua na 0.32 afu hata hakukua na red card
 
Mi nadhani sahivi watu tudili sana na hizi option special kama redcad,yelow,corner,under na over, kuliko kudili sana na final results

hahaha...sure! kusema kweli kwenye final results sijawah kushinda zaid ya mara 4 au 5...na nimebet karibia mara 100 cjui! lol
 
wakuu leo wapeni hawa....

Modena vs citadela , win, l 1 l - seria b - Italy

Rio ave vs boavista , win, l 1 l - premiera division - Portugal

on your own risks...
 
Dah, tunapigwa ngumi za uso tu, jaribuni kulinda mtaji, no matter what linda mtaji
 
Back
Top Bottom