Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asanteni Man City kukubali goal nne kwenye game yenu.
Mmenipa dollar 48 mapema
 
mkuu ebu nipe maelekezo ukitaka ingia hiyo meridian online na mpunga wako unaupatajepataje...mi nacheza mbet tu shenzi wananila tu...

Mkuu jaribu pitia hapa kuna post zimeongelea vizuri kuhusu meridian na jinsi ya kuweka na kupokea hela
 
Hahaahahahahhahahaha nahitaji laki mbili more....
Ifike laki tatu na nusu
Nitume powerbeats2
I wish ntaipata tonight
 
shakhtar win
psg win
chelsea win
barcelona win
baryern win nimeweka elfu kumi nasubiri elfu 80.
 
Sijaamini kama PSG ANGENIPA HII HELA YA USIKU
JAPO ILE KUBWA NIMEIKOSA
ILA HATA HII 97 INATOSHA NA NTAIBETIA YOTE KESHO
 
leo ilikuwa siku nzuri sana kwa uefa champions league betting...... dah sijui why leo siku-bett
 
Dah! leo ningetoka patupu ningeandamana hadi kwa babu kujua nani amehack nyota yangu
 
Back
Top Bottom