Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Adolph weka mkeka wako wa leo basi tukopi maana leo nahisi navamiwa na uefa
bet 2.JPG
mkuu leo nategemea kupiga hela nyingi kwa kucheza live in play...nimeweka kamkeka ka kizushi tu maana leo hamna game nzuri sana
 
wakuu nataka niweke timu moja tu leo halafu nitupie laki moja tu, hivi Real madrid kweli anaweza toa 2&A2+ ?? yani ashinde na magoli mawili au zaidi?? odds 2.06
 
Inawezekana kwa madrid sababu liver hawana beki na forwad ndo butu kabisa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jamani nambieni hapa
Anderlecht v Arsenal 2
Liverpool v RMadrid 2
Olypiacos v juventus 2
Galatasary v dortmund 2
Nani hafai hapo
 
leo basel win
athletico madrid win
arsenal win
nimeweka elfu 15 nasubiria elfu 81.
 
ya pili hii hapa.
Bayern leverkusen win
juventus win
benfica win
nimeweka elfu kumi nasubiri laki moja na elfu kumi na moja.
 
basel ashanichania mkeka na red card....ngoja nicheze live meridian
 
Hahahah leo tena timu imevamia meli ya kigirik. Dah kuna jamaa aliweka laki kwa ronado afunge na ods ilikua 1.70
 
Back
Top Bottom