Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani aliyeweka kwenye football leo naomba aniwekee ni copy jamani:A S wink:
 
Humu tungekuwa na ushirikiano tunajadili frrsh....... Kumpiga mhindi kazi nyepesi..... Mfano kila mmoja akaweka mezani hapa mkeka moja tu anaouaminia..... Tukawa tunaijadili ...... Nauhakika hatoki...... Sasa huu ubinafs wa kutaka kula mwenyewe wengine tukuchangie pesa ulizoshinda ndio kinatuponza....yote kwa yote mwisho wa siku kila mtu anachezea pesa yake....... Nawakilisha
 
Attachments

  • 1414688465095.jpg
    1414688465095.jpg
    78.6 KB · Views: 135
Humu tungekuwa na ushirikiano tunajadili frrsh....... Kumpiga mhindi kazi nyepesi..... Mfano kila mmoja akaweka mezani hapa mkeka moja tu anaouaminia..... Tukawa tunaijadili ...... Nauhakika hatoki...... Sasa huu ubinafs wa kutaka kula mwenyewe wengine tukuchangie pesa ulizoshinda ndio kinatuponza....yote kwa yote mwisho wa siku kila mtu anachezea pesa yake....... Nawakilisha

Umeona eeh! Mi naona watu wameamua kutoshirikiana, ila siyo powa! Wadosi wanatupiga kwa sababu ya sisi kutokuwa na ushirikiano.

Watu wanakuja na mikeka iliyokufa tu!
 
Meridian jama najaribu kulogin inaniambia player not found... tatizo nini???
 
Mkeka wa leo huu hapa : shalke,benfica na norwich... Mkeka wa pili : le harve, dijon na troyes.
 
Jana nilikuja kumbeep mdosi kwa legia,aalborg,krasnodar na club brugge!NIKAWEKA ELF 10 KM NILILOGWA VILE....NIMEKOMAAAAAAAAAAAAA
 
Kwa siku hizi tatu naweka mikeka 10 yenye timu zisizojirudia, ila Man U na Mwenzake siwapi win nawapa goals tu.
Iatakuwa mikeka 10 tofauti, kuanzia yelo, red,penati,corner,over/under
 
Jana nilikuja kumbeep mdosi kwa legia,aalborg,krasnodar na club brugge!NIKAWEKA ELF 10 KM NILILOGWA VILE....NIMEKOMAAAAAAAAAAAAA

Hao krasnodar sina hata hamu nao. Yaani hii wiki na iliyopita togwa limeingiwa nzi kwa kweli
 
inauma1.PNG
ufaransa hakuna jeshi mpaka sasa yaani sio kwa kwenda kabisa ni bora kucheza live na kuzuia magoli tu.
 
Back
Top Bottom