Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka unapumua vizuri juvee tu ndo anazingua
 
Attachments

  • 1415133961153.jpg
    1415133961153.jpg
    55.8 KB · Views: 108
Juve kashatuua nini?? Maana natetemeka kufungua livescore siwezi hata
 
hivi huyu arsenal nimfanye nn????? wenga hovyo sanaaaa kanikosesha hela kijingaaa nyambafu
 
Arsenal mpumbavu sana.....watu tumejikaza tukawaua zenit na Monaco na wakafa kweli yeye ndo anakuja kuchoma mkeka pumbavu kweli???
 
For the first time nime risk 5000 na arsenal kaniharibia niliwaacha benfica na juve yaani ama kweli umzaniaye ndiye kumbe siye
 
Juve kashatuua nini?? Maana natetemeka kufungua livescore siwezi hata
Mkuu umenichekesha sana eti una tetemeka. Uliweka sh. Ngapi ssometimes hasara huwa zipo ni sehemu ya maisha. Yaani mi nimeliwa hizi wiki mbili hadi imebidi nizoee na wala sina hata pressure kabisaa hela ya bet huwa naihesabu kaa vocha leo nimetumia vocha ya 5000 basi life lisonge ipo siku mtusuo mmoja utarudisha nusu ya pesa uliyoliwa au zaidi
 
Tatizo ni litimu unaliamini halafu linaleta ujinga....sasa kama li aseno ndo nn kudroo sasa wakati benfica na Leverkusen wameshinda???
 
2+ kumi na nne.... wanaua benfica hapa dah..... ule wa normal ARSENAL ANARUDISHWA KIBOYA...... ASEEEE......
 
Mkuu umenichekesha sana eti una tetemeka. Uliweka sh. Ngapi ssometimes hasara huwa zipo ni sehemu ya maisha. Yaani mi nimeliwa hizi wiki mbili hadi imebidi nizoee na wala sina hata pressure kabisaa hela ya bet huwa naihesabu kaa vocha leo nimetumia vocha ya 5000 basi life lisonge ipo siku mtusuo mmoja utarudisha nusu ya pesa uliyoliwa au zaidi

Hahahaha mkuu asubuhi niliamka na bonus ya muhindi kama 13.. Nikaiweka yote huko. Zote zimekubali ni huyo mpumbavu aseno tu..

Nilishaliwa j'mosi nikamtangazia muhindi hataniona mpaka x-mass, leo kanirudisha kijanja na bonus yake, sasa namtangazia tena hatoniona mpaka x-mas au kama ana mfuasi humu amwambie anirudishie bonus yangu tu kwa mara ya pili
 
arsenal hovyo kabisa wanaongoza 3:0 yanarudi yoteee...upuuuuzi mtupu kanikosesha elfu 94
 
Daaaaah arsenal sikuwadhania km mngenifanyia hv. Mmmmmh nilijua benifa ndoo ananiuwa kumbe wenger!!!!! Pooor stup sanàa arsenal siwapend mmenikosesha hela usiku huuu yaan wote tiki unafungwa dakika ya 90???
 
Juve nilimpa kashinda
ATM nae kashinda
Basel kashinda
Madrid kashinda
Dortmund kashinda
Benfica kashinda
Leverkusen kashinda

Wenger kachana mkeka na timu lake???
 
jamani mechi ya Madrid na Liver goals ziwe 0-3 kapewa odds 2.01 hii game liver watakaba sana ila watafungwa tu, ila sio zaidiya 3, ebu wekeni mzigo kwenye hii option mpige pesa.

mkuu wewe noma ngoma imekubali,hongera zako kwa utabiri makini.
 
Nilishasema toka zamani NO more betting on Arsenal till further notice,hahahahaha Watu wanalia leo
 
Asanteni Madrid
Benfica
Borussia
Basel
Juventus
Shukrani za kipekee kwa walio toa review zao hapo juu.
Biashara inaendelea.
 
Back
Top Bottom